KATIBA MAGAZINE-Latest UPDATES

Our Events

LATEST NEWS FOR YOU

News from Katiba Information Centre

LATEST NEWS FROM CONSTITUTION PUBLIC DATABASE

OUR EVENTS

Advertise Space

CONSTITUTIONAL DATABASE PHOTO PROJECT

Articles

Our Change Makers

Latest News

Thursday, April 7, 2016

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinapenda kuwataarifu wote kuwa tumefungua kanzidata (database) ya kwanza ya Kidigitali Tanzania iliyosheheni taarifa mbalimbali za Katiba na Pia imefungua Kituo maalamu cha Taarifa za Katiba Tanzania. Ingia kwenye link hii uweze kupakua taarifa hizi http://katiba.humanrights.or.tz na pia unaweza kutembelea office za Kituo cha Sheria na Haki za binadamu zilizopo Mbezi Beach uweze kutumia kituo hiki kupataa taarifa mbalimbali




" tunatamini tuwe na katiba yawananchi inawezekana tukishikamana."-Dr.Helen KijoBisimba
Mchakato wa Katiba Kwa kiasi kikubwa Sana umetugawa Watanzania. Prof Maina

Ads Place 970 X 90